Roho Mtakatifu ni nafsi ya tatu katika uungu.
1 Yohan 5:8
Roho Mtakatifu ni nafsi kamili ya uungu, ambaye alihusika kiamilifu katika uumbaji ,ambaye anatuongoza, Yohana 16:13.
Kutupasha habari za mambo mbalimbali.
Nk.
Roho Mtakatifu ana tabia zote za baba Na Mwana. Bila Roho Mtakatifu hakuna chochote kinachoweza kufanyika.
Baba na Mwana hukaa ndani yetu kwa njia ya Roho Mtakatifu Yohana 14:18
1korintho 3:16
Sunday, September 16, 2018
Kuna Mariam wangapi katika Biblia?
Ni swali alilouliza mpendwa mmoja.
Katika Biblia wapo Marian watano.
1.Mariam mama yake Yesu bays alikuwa bilra Luka 1:26,27
2. Wa pili ni Mariam Magdalene ambaye alitolewa pepo saba na pia alikuwa amekamatwa kwa kosa la zinaa makuhani Na mafarisayo wakitaka kumpiga mawe Yesu.
3. Mariam mamaye Yakobo cleopas mark 15:40
4. Wa nne Mariam mamaye Yohana Marko katika Matendo 12:12
5. Mariam Wa kanisa la Rumi katika warumo 16:6.
Zaidi hata jina LA Miriam in maana ya Mariam Ila katika lugha ya kiebrania.
Katika Biblia wapo Marian watano.
1.Mariam mama yake Yesu bays alikuwa bilra Luka 1:26,27
2. Wa pili ni Mariam Magdalene ambaye alitolewa pepo saba na pia alikuwa amekamatwa kwa kosa la zinaa makuhani Na mafarisayo wakitaka kumpiga mawe Yesu.
3. Mariam mamaye Yakobo cleopas mark 15:40
4. Wa nne Mariam mamaye Yohana Marko katika Matendo 12:12
5. Mariam Wa kanisa la Rumi katika warumo 16:6.
Zaidi hata jina LA Miriam in maana ya Mariam Ila katika lugha ya kiebrania.
Sunday, September 9, 2018
Jogoolililowika Mara tatu wakati Yesu alikuwa anasalitiwa ilikuwa ya nani?
Hakuna mahali popote katika biblia inapoonesha kuku huyo alikuwa wa nani.
Sunday, September 2, 2018
18. Je, kuamini ukweli tu wa kimbingu unatosha?
Wewe waamini ya kuwa Mungu ni mmoja; watenda vema. Mashetani nao waamini na kutetemeka.
Yakobo 2:19
Kusema tu huu ni ukweli au Mungu yupo haitoshi lazima uishi kulingana Na ukweli unaoujua.
17. Je, imani ina umuhimu gani katika maisha yetu?
6 Lakini pasipo imani haiwezekani kumpendeza; kwa maana mtu amwendeaye Mungu lazima aamini kwamba yeye yuko, na kwamba huwapa thawabu wale wamtafutao.
16. Imani ni nini ?
1 Basi imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo, ni bayana ya mambo yasiyoonekana.
Ebrania 11:1
Ebrania 11:1
15.Nini maana ya sabato?
Sabato ni pumziko Na asili take kibiblia mwanzo 2:1-3 1 Basi mbingu na nchi zikamalizika, na jeshi lake lote.
2 Na siku ya saba Mungu alimaliza kazi yake yote aliyoifanya; akastarehe siku ya saba, akaacha kufanya kazi yake yote aliyoifanya.
3 Mungu akaibarikia siku ya saba, akaitakasa kwa sababu katika siku hiyo Mungu alistarehe, akaacha kufanya kazi yake yote aliyoiumba na kuifanya.
2 Na siku ya saba Mungu alimaliza kazi yake yote aliyoifanya; akastarehe siku ya saba, akaacha kufanya kazi yake yote aliyoifanya.
3 Mungu akaibarikia siku ya saba, akaitakasa kwa sababu katika siku hiyo Mungu alistarehe, akaacha kufanya kazi yake yote aliyoiumba na kuifanya.
. Na neno hili pia lipo katika amri ya nne kutoka 20:8-11
Na pia mbali Na sabato ya Siku ya sabato zilikuwepo sabato nyingine ambazo wanawa Israel walitakiwa kuzishika au kuzitunza
Walawi 23:38
Na Zaidi ya hizo sabato za BWANA , Na zaisi ya matoleo .......
Ambazo zipo walawi 25:8
Nawe utajihesabaia sabato saba za miaka, maana miaka saba Mara saba; zitakuwa ni siku za sabato saba za miaka kwenu ....
Inatoka walawi 25:2-4
Isome!
14 . Je Mungu anaishi wapi?
Ni swali ambalo mpendwa mmoja katuma kupitia app hii akitaka kujua je, Mungu anaishi Wapi!?
Daniel 2:28
Lakini yuko Mungu mbinguni afuanuae siri......
Na pia Mathayo.
Mathayo 6:9
Baba yetu uliye mbinguni jina lako litukuzwe....
Ila pia isaya 66:1
BWANA asema hivi mbingu ni kiti changu cha enzi Na dunia ni mahali pa kuweka miguu yangu.
Daniel 2:28
Lakini yuko Mungu mbinguni afuanuae siri......
Na pia Mathayo.
Mathayo 6:9
Baba yetu uliye mbinguni jina lako litukuzwe....
Ila pia isaya 66:1
BWANA asema hivi mbingu ni kiti changu cha enzi Na dunia ni mahali pa kuweka miguu yangu.
13. Tabia kuu mbili za Mungu ni zipi?
Haki Na utakatifu
BWANA ni mwenye haki katika njia zake zote, Na mwenye fadhili juu ya kazi zake zote.
Zab 145:17
BWANA ni mwenye haki katika njia zake zote, Na mwenye fadhili juu ya kazi zake zote.
Zab 145:17
Friday, August 31, 2018
10. Ni lini na kwa njia ipi madhara ya dhambi yataondolewa?
Lakini
siku ya Bwana itakuja kama mwivi; katika siku hiyo mbingu zitatoweka kama
mshindo mkuu na viumbe vya asili vitaunguzwa na kufumuliwa , na nchi na kazi
zilizomo ndani yake zitateketea. 2 petro 3:10
11. Je, dhambi na matokeo yake yatatokea tena?
Mnawaza nini juu ya BWANA? Yeye atakomesha kabisa; mateso hayatainuka
mara ya pili. Nahum 1:9
Naye atafuta kila chozi katika macho yao, wala mauti haitakuwepo tena;
wala maombolezo, wala kilio, wala maumivu ahyatakuwepo tena, kwakuwa mambo ya
kwanza yamekwisha kupita. Ufunuo 21:4
Wala hapatakuwa na laana yoyote tena. Na kiti cha enzi cha Mungu na cha
Mwana-Kondoo kitakuwepo ndani yake na watumwa wake watamtumikia. Ufunuo 22:3
9. Kiasi gani au kwa kiwango gani Yesu ameteseka kwa ajili ya wadhambi?
Bali
alijeruhiwa kwa makosa yetu, alichubuliwa kwa maovu yetu;adhabu ya amani yetu
ilikuwa juu yake, na kwa kupigwa kwake sisi tumepona, isaya 53:5
Je, kwanini Yesu aliamua kufanyika mwili?
Basi kwakuwa watoto wameshirki damu na mwili, yeye naye vivyo hivyo
alishiriki yay ohayo, ili kwa njia ya mauti amharbu yeye aliyekuwa na nguvu za
maut, yaani Ibilisi, waebrania 2:14
7. Kwanini Kristo alidhihishwa au kuja?
Nanyi mnajua ya kuwa yeye alidhihirishwa, ili aziondoe dhambi; na dhambi
haimo ndani yake.
1 yohana 3:5
Ni moja wapo ya kazi ya Yesu alokuja kuifanya duniani.
6. Je, mwanadamu aweza kujiweka huru lkutoka katika utumwa wa dhambi?
Je, mkushi aweza kuibadili ngozi yake, au chui madoa-doa yake? Kama aweza
ndipo na ninyi mwaweza kutenda mema , ninyi mliozoea kuteda mabaya.
Mabadiliko ya tabia yanapatikana kwa Mungu. Kujaribu kwa bidii zako
kubadilika waweza jikuta unaumia bure na kukosa amani katika maisha, na
utakatifu kuonekana kama mzigo kwako na watu wakuzungukao.
Je, Mungu ana matazamaje mtu anayetenda dhambi?
Maana
mimi sikufurahii kufa kwake afaye, asema Bwana MUNGU; basi ghairini mkaishi Ezekiel
18:32
Je, kwanini Mungu hawaadhibu wadhambi mapema?
Bwana
hakawii kuitimiza ahadi yake, kama wengne wanavyokudhani kukawia, bali
huvumilia kwenu, maana hapendi mtu yeyote apotee, bali wote wafikilie toba. 2
petro 3:9
3. Je, watu wangapi wamehathiriwa na mauti itokananyo na kosa la Adamu?
Kwa hiyo,kama kwa mtu mmoja dhambi iliingia ulimwenguni, na kwa dhambi
hiyo mauti; na hivyo mauti ikawafikia watu wote kwasababu wote wmaefanya
dhambi; warumi 5:12
Je, yapi ni matokeo ya mwisho ya kutenda dhambi?
Kwa maana mshahara wa dhambi ni mauti; bali karama ya Mungu ni uzima wa
milele katika Kristo Yesu Bwana wetu warumi 6:23
Halafu ile tama ikiisha kuchukua mimba huzaa dhambi na ile dhambi ikiisha
kukomaa huzaa mauti yakobo 1:15
1. Dhambi ni nini?
Weng twaweza kujiuliza swali hili kuwa dhambi ni nini?
1 yohana 3:4 I nasema Kila atendaye dhambi, afanya uasi; kwa
kuwa dhambi ni uasi
Subscribe to:
Comments (Atom)