Sunday, September 2, 2018

15.Nini maana ya sabato?

Sabato ni pumziko Na asili take kibiblia mwanzo 2:1-3 1 Basi mbingu na nchi zikamalizika, na jeshi lake lote.
2 Na siku ya saba Mungu alimaliza kazi yake yote aliyoifanya; akastarehe siku ya saba, akaacha kufanya kazi yake yote aliyoifanya.
3 Mungu akaibarikia siku ya saba, akaitakasa kwa sababu katika siku hiyo Mungu alistarehe, akaacha kufanya kazi yake yote aliyoiumba na kuifanya.
. Na neno hili pia lipo katika amri ya nne kutoka 20:8-11
Na pia mbali Na sabato ya Siku ya sabato zilikuwepo sabato nyingine ambazo wanawa Israel walitakiwa kuzishika au kuzitunza 
Walawi 23:38
Na Zaidi ya hizo sabato za BWANA , Na zaisi ya matoleo .......
Ambazo zipo walawi 25:8
Nawe utajihesabaia sabato saba za miaka, maana miaka saba Mara saba; zitakuwa ni siku za sabato saba za miaka kwenu ....
Inatoka walawi 25:2-4

Isome!

No comments:

Post a Comment