Sunday, September 2, 2018

14 . Je Mungu anaishi wapi?

Ni swali ambalo mpendwa mmoja katuma kupitia app hii akitaka kujua je, Mungu anaishi Wapi!?
Daniel 2:28
Lakini yuko Mungu mbinguni afuanuae siri......
Na pia Mathayo.
Mathayo 6:9
Baba yetu uliye mbinguni jina lako litukuzwe....
Ila pia isaya 66:1
BWANA asema hivi mbingu ni kiti changu cha enzi Na dunia ni mahali pa kuweka miguu yangu.

No comments:

Post a Comment