Roho Mtakatifu ni nafsi ya tatu katika uungu.
1 Yohan 5:8
Roho Mtakatifu ni nafsi kamili ya uungu, ambaye alihusika kiamilifu katika uumbaji ,ambaye anatuongoza, Yohana 16:13.
Kutupasha habari za mambo mbalimbali.
Nk.
Roho Mtakatifu ana tabia zote za baba Na Mwana. Bila Roho Mtakatifu hakuna chochote kinachoweza kufanyika.
Baba na Mwana hukaa ndani yetu kwa njia ya Roho Mtakatifu Yohana 14:18
1korintho 3:16
No comments:
Post a Comment