Je, mkushi aweza kuibadili ngozi yake, au chui madoa-doa yake? Kama aweza
ndipo na ninyi mwaweza kutenda mema , ninyi mliozoea kuteda mabaya.
Mabadiliko ya tabia yanapatikana kwa Mungu. Kujaribu kwa bidii zako
kubadilika waweza jikuta unaumia bure na kukosa amani katika maisha, na
utakatifu kuonekana kama mzigo kwako na watu wakuzungukao.
No comments:
Post a Comment