Roho Mtakatifu ni nafsi ya tatu katika uungu.
1 Yohan 5:8
Roho Mtakatifu ni nafsi kamili ya uungu, ambaye alihusika kiamilifu katika uumbaji ,ambaye anatuongoza, Yohana 16:13.
Kutupasha habari za mambo mbalimbali.
Nk.
Roho Mtakatifu ana tabia zote za baba Na Mwana. Bila Roho Mtakatifu hakuna chochote kinachoweza kufanyika.
Baba na Mwana hukaa ndani yetu kwa njia ya Roho Mtakatifu Yohana 14:18
1korintho 3:16
Sunday, September 16, 2018
Kuna Mariam wangapi katika Biblia?
Ni swali alilouliza mpendwa mmoja.
Katika Biblia wapo Marian watano.
1.Mariam mama yake Yesu bays alikuwa bilra Luka 1:26,27
2. Wa pili ni Mariam Magdalene ambaye alitolewa pepo saba na pia alikuwa amekamatwa kwa kosa la zinaa makuhani Na mafarisayo wakitaka kumpiga mawe Yesu.
3. Mariam mamaye Yakobo cleopas mark 15:40
4. Wa nne Mariam mamaye Yohana Marko katika Matendo 12:12
5. Mariam Wa kanisa la Rumi katika warumo 16:6.
Zaidi hata jina LA Miriam in maana ya Mariam Ila katika lugha ya kiebrania.

Sunday, September 9, 2018
Jogoolililowika Mara tatu wakati Yesu alikuwa anasalitiwa ilikuwa ya nani?
Hakuna mahali popote katika biblia inapoonesha kuku huyo alikuwa wa nani.
Sunday, September 2, 2018
18. Je, kuamini ukweli tu wa kimbingu unatosha?
Wewe waamini ya kuwa Mungu ni mmoja; watenda vema. Mashetani nao waamini na kutetemeka.
Yakobo 2:19
Kusema tu huu ni ukweli au Mungu yupo haitoshi lazima uishi kulingana Na ukweli unaoujua.
17. Je, imani ina umuhimu gani katika maisha yetu?
6 Lakini pasipo imani haiwezekani kumpendeza; kwa maana mtu amwendeaye Mungu lazima aamini kwamba yeye yuko, na kwamba huwapa thawabu wale wamtafutao.
16. Imani ni nini ?
1 Basi imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo, ni bayana ya mambo yasiyoonekana.
Ebrania 11:1
Ebrania 11:1
15.Nini maana ya sabato?
Sabato ni pumziko Na asili take kibiblia mwanzo 2:1-3 1 Basi mbingu na nchi zikamalizika, na jeshi lake lote.
2 Na siku ya saba Mungu alimaliza kazi yake yote aliyoifanya; akastarehe siku ya saba, akaacha kufanya kazi yake yote aliyoifanya.
3 Mungu akaibarikia siku ya saba, akaitakasa kwa sababu katika siku hiyo Mungu alistarehe, akaacha kufanya kazi yake yote aliyoiumba na kuifanya.

. Na neno hili pia lipo katika amri ya nne kutoka 20:8-11
Na pia mbali Na sabato ya Siku ya sabato zilikuwepo sabato nyingine ambazo wanawa Israel walitakiwa kuzishika au kuzitunza
Walawi 23:38
Na Zaidi ya hizo sabato za BWANA , Na zaisi ya matoleo .......
Ambazo zipo walawi 25:8
Nawe utajihesabaia sabato saba za miaka, maana miaka saba Mara saba; zitakuwa ni siku za sabato saba za miaka kwenu ....
Inatoka walawi 25:2-4
Isome!
14 . Je Mungu anaishi wapi?
Ni swali ambalo mpendwa mmoja katuma kupitia app hii akitaka kujua je, Mungu anaishi Wapi!?
Daniel 2:28
Lakini yuko Mungu mbinguni afuanuae siri......
Na pia Mathayo.
Mathayo 6:9
Baba yetu uliye mbinguni jina lako litukuzwe....
Ila pia isaya 66:1
BWANA asema hivi mbingu ni kiti changu cha enzi Na dunia ni mahali pa kuweka miguu yangu.

13. Tabia kuu mbili za Mungu ni zipi?
Haki Na utakatifu
BWANA ni mwenye haki katika njia zake zote, Na mwenye fadhili juu ya kazi zake zote.
Zab 145:17
BWANA ni mwenye haki katika njia zake zote, Na mwenye fadhili juu ya kazi zake zote.
Zab 145:17
Subscribe to:
Comments (Atom)